b

Mpya !Sema kwa heri kwa maumivu ya chini ya kitovu na uchafu wenye harufu mbaya ni njia salama na ya uhakika ya kutibu PID kuanzia chanzo chake leo

Mpendwa msomaji

Kama unataka..

Kupona maumivu ya chini ya tumbo

Kuondokana na uchafu pamoja na

harufu mbaya inayotoka ukeni

Kuondokana na karaha za maumivu

wakati wa tendo la ndoa

Hivyo kuanza kulala vizur bila

kusumbuliwa na maumivu ya tumbo

Na hatimaye kuapata mzunguko wako

wa hedhi wa kawaida

Basi unahitajika kusoma kila neno

katika ukurasa huu kwasababu..........

unaelekea kugundua njia mpya na ya kipekee ambayo haina madhara yoyote mwilini na imethibitishwa na mamlaka za afya kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kuondoa tatizo la PID kama barafu linavoyayuka kwenye mwanga wa jua

​Kwa majina naitwa Dr. Naifat, najua ni kwa

jinsi gani tatizo la PID linakukosesha amani

kwa sababu nina ndugu yangu ambaye

alikuwa na tatizo kama lako.

Nina uhakika kama ilivyokuwa kwa ndugu

yangu hata wewe pia umejaribu njia

mbalimbali za kuweza kuondokana na

maradhi ya PID lakini umeishia kupoteza

hela na muda kwenye njia ambazo hazifanyi

kazi.

​Tazama ndugu yangu alijaribu kutumia tiba

asilia akiwa na imani itamsaidia lakini cha

kushangaza hali ilizidi kuwa mbaya siku hadi

siku.

​Akaamua kutumia dawa za hospitalini kwa

muda wa miezi mitatu, taarifa mbaya ni

kwamba tatizo halikuondoka bali aligeuka

kuwa mtumwa wa kula dawa hizo kila siku

na bado tatizo halikuisha.

​Nikamshauri ndugu yangu atumie dawa

fulani kutoka katika shirika ninapofanyia kazi

lakini akawa mgumu kunisikiliza

Kwa jeuri yake akaenda kununua

virutubisho lishe kutoka katika kampuni

ambayo sitoitaja hapa mana sipo kwa ajili ya

kuiponda na kuharibu biashara za watu

hapa.

​Basi kununua virutubisho hivyo na kuanza

kuvitumia.

Mwezi moja baada ya kutumia virutubisho

hovyo tatizo liliondoka lakini haikupita

muda likajirudia.

​Kwa upole akanitafuta na kuniambia Sasa

yupo tayari kujaribu dawa nlizomshauri

atumie.

Alivyoanza kutumia dawa hizo, wiki ya

kwanza tu alianza kuona mabadiliko.

​Maumivu ya chini ya tumbo yalianza

kupungua

Harufu pamoja na uchafu uliokuwa

unamtoka ukeni ulipungua siku

hadi siku.

​Mpaka mwezi kuisha, maumivu yote pamoj

a na uchafu wenye harufu mbaya uliweza

kutoweka na kuisha kabisa.

​Na hata aliweza kushiriki tendo la ndoa bila

maumivu.

Baada ya kuamliza dozi kamili Sasa yapata

mwaka wa 2 PID haikuwahi kumrudia tena

na tatizo limekua kama historia kwake

​Pengine unatamani kujua ndugu yangu

huyu alitumia dawa zipi ambazo

zimemsaidia kuondokana na tatizo la PID na

kuzia hili tatizo lisijirudie tena ............

​Usijali ndani ya dakika 2 zijazo niatakwambia

alitumia nini lakini Kwanzaa Unatakiwa ujue

kwamba..........

Tafiti za kisayansi zinaonesha kua hadi asilimia 50 ya wanawake wenye tatizo la PID huweza kukumban na changamoto ya kuziba mirija ya uzazi

Wanawake wengi hupata dalili ndogo ndogo

kama vile kutoka uchafu ukeni pamoja na

maumivu ya tumbo

lakini huyapuuzia nakuaona mambo ya

kawaidakwasababu .....

​Watu wengi huamini kila ugonjwa lazima

uwe na maumivu makali au hata uwe na

ishara za wazi hivyo huanza kulipuuzia na

kuona ni tatizo la kawaida lakini ukweli ni

kwamba............

​PID inaweza kuendelea kimya kimya bila

ishara za wazi na kugundulika baadae pale

ambapo tatizo tayari limeshakua kubwa.

Tafiti zinaonesha kwamba:

PID ambayo ni ya muda mrefu pamoja na

maambukizi ya mara kwa mara ambayo

hayajatibiwa au kupona yaweza kusababisha

uharibifu wa mirija ya uzazi .

Taarifa mbaya ni kwamba, tafiti zinasema

kuwa mamilioni ya wanawake duniani

walioathirika na tatizo la PID huweza

kukumbana na madhara makubwa na ya

kudumu, kama vile maumivu ya nyonga ya

kudumu, mimba kutunga nje ya fuko la

uzazi, na hata kusababisha kukosa mtoto

kabisa.

​Hili husababishwa na pale ambapo tatizo

limechelewa kutibiwa, hivyo hata ikija

kugundulika, tayari imefika katika hatua

mbaya.

​Kama tunavyoelewa, ili tatizo liweze kuisha

na kuondoka, ni lazima kutibu chanzo

ambacho husababisha hilo tatizo.

Mara nyingi watu hutumia dawa zisizo

sahihi, ndio maana hupelekea tatizo hilo

kutokutibika kabisa.

Huku dawa nyingine huondoa tatizo juu juu

na kuacha kinga ya mwili ikiwa dhaifu, hivyo

hupelekea maambukizi hayo kujirudia tena.

Chanzo cha kutengenezwa kwa dawa iliyomsaidia ndugu yangu mpaka akapona PID na tatizo lisiweze kujirudia tena.

Kama nilivyokwambia, huwezi kutengeneza

tiba ya tatizo fulani la kiafya wakati hujui

chanzo cha tatizo hilo ni kipi.

Lakini BF Suma, katika tafiti zao za muda

mrefu, waliweza kugundua moja ya

visababishi vya tatizo hili, na ugunduzi huu

wa moja wapo wa visababishi vya PID ndio

umepelekea shirika hili la kimarekani

kugundua kanuni ya kutengeneza vidonge

asilia kabisa ambavyo hutibu tatizo hili moja

kwa moja.

Kabla ya kujua kisababishi cha tatizo hili la

PID, kwanza tuelewe PID ni nini.

PID (Pelvic Inflammaftory Disease) ni hali ya

kiafya inayohusisha maambukizi na uvimbe

katika mfumo wa uzazi.

Maambukizi hayo hutokea kwenye mfuko

wa uzazi (uterus), mirija ya uzazi (fallopian

tubes) pamoja na ovari

Je maambukizi haya husababishwa na nini?

Hapa ndipo watu wengi hukosea, kwa

sababu huamini kuwa tatizo hili

husababishwa tu na bakteria wa nje, wakati

ukweli ni tofauti kidogo.

Kwa kawaida mwanamke huwa na bakteria

wa aina mbalimbali ndani ya uke wake.

Kuna bakteria wazuri ambao hulinda afya ya

uke, na pia wapo bakteria wabaya ambao

wanaweza kusababisha matatizo.

Bakteria hawa wazuri husaidia kuweka

mazingira ya uke kuwa salama kwa

kudumisha hali ya PH ambayo huzuia

bakteria wabaya kukua.

Miongoni mwa bakteria wazuri

wanaopatikana kwa wingi ni Lactobacillus.

Hawa ndio walinzi wakuu wa uke, kwani

hutoa tindikali inayosaidia kuzuia

kuongezeka kwa bakteria wabaya. Lakini

tatizo huanza pale ambapo bakteria hawa

wazuri wanapopungua.

Pindi uwiano unapoharibika, bakteria

wabaya kama Gardnerella vaginalis huanza

kuongezeka kwa kasi.

Hali hii husababisha kile kinachojulikana

kama maambukizi ya uke, ambapo mfumo

wa asili wa ulinzi wa uke unakuwa

umeathirika.

Bakteria hawa wabaya wanaweza kupanda

kutoka sehemu ya chini ya uke kuelekea juu

hadi kwenye mfuko wa uzazi

Wanapofika huko, huanza kusababisha

madhara makubwa zaidi ikiwa hatua za

matibabu hazitachukuliwa mapema.

Matokeo yake ni mwanamke kuanza kupata

dalili mbalimbali kama maumivu ya tumbo,

maumivu wakati wa tendo la ndoa,

kuwashwa au kuungua sehemu za siri,

pamoja na kutokwa na uchafu usio wa

kawaida.

Mbali na hayo, bakteria kama Gardnerella

vaginalis huzalisha kemikali zinazoitwa

amines, ambazo husababisha harufu mbaya

ya uke inayofanana na harufu ya samaki

pamoja na kuongezeka kwa uchafu mwingi

usio wa kawaida

Ni kwa namna gani bakteria hawa

husababisha maambukizi na uvimbe

kutokea? Hili ni swali muhimu ambalo watu

wengi hawalielewi kwa undani.

Kama tulivyoeleza awali, kila mwanamke

ana bakteria wazuri ndani ya uke wake

ambao hulinda afya ya uke.

Lakini pale ambapo uwiano wa bakteria

hawa unapoharibika, bakteria wabaya

huanza kuongezeka na kusababisha

matatizo.

Bakteria hawa wabaya huanza kutoka

sehemu ya chini ya uke na taratibu hupanda

kuelekea juu kwenye mfumo wa uzazi.

Wanapofika kwenye maeneo ya juu zaidi

kama mfuko wa uzazi, ndipo huanza

kusababisha maambukizi makubwa zaidi.

Hali hii inaweza kutokea kwa urahisi zaidi

pale ambapo mtu tayari ana maambukizi ya

zinaa, kwa sababu maambukizi hayo

hufungua njia na kurahisisha bakteria hawa

kupenya na kuenea zaidi ndani ya mwili.

Matokeo yake ni kuanza kwa uvimbe

kwenye mfumo wa uzazi, ambao unaweza

kuleta madhara mbalimbali kama maumivu

makali ya tumbo, maumivu wakati wa

tendo la ndoa, na matatizo mengine ya

kiafya.

Aidha, kufanya ngono bila kinga huongeza

hatari ya kupata na kueneza maambukizi

haya, kwani hupelekea bakteria na vijidudu

vingine kuingia kwa urahisi na kusababisha

maradhi zaidi.

Baadhi ya maambukizi yanayoweza

kuhusika na hali hii ni pamoja na Gonorrhea

na Chlamydia, ambayo yakiachwa bila

matibabu yanaweza kusababisha madhara

makubwa kwenye mfumo wa

uzazi.

Maambukizi ya zinaa, kama vile Gonorrhea,

mara nyingi huanza kupitia ngono isiyo

salama, iwe ni kwa kufanya tendo na mtu

aliyeathirika au kuwa na wapenzi wengi.

Bakteria wanaosababisha ugonjwa huu

N.gonorrhoeae, wanapoingia mwilini,

huanza kwa kushambulia eneo la uke na

kubadilisha uwiano wa asili wa pH ya uke.

​Hali hii ya mabadiliko ya pH ni hatari kwa

sababu inafungua njia kwa bakteria hawa

kuhama kutoka ukeni na kupanda juu

kuelekea kwenye mfumo wa ndani wa uzazi.

Jambo hili huzidishwa zaidi na matumizi ya

bidhaa za kemikali, kama sabuni kali au

'shower gels', ambazo wanawake wengi

huzitumia wakiamini kuwa wanasafisha uke.

Badala ya kusafisha, bidhaa hizi huharibu

zaidi pH ya uke, jambo ambalo huwapa

bakteria hawa mwanya rahisi wa kusafiri

kuelekea sehemu za juu za mfumo wa uzazi

na kusababisha maambukizi makubwa

kama vile PID.

PID nikama unga ambao ni matokeo ya kusagwa mahindi mashineni

Ili kuelewa jinsi PID inavyokua mwilini,

hebu tulinganishe na mchakato wa

kusaga mahindi kwenye mashine.

Kama unavyojua, ili upate unga

mwingi, mashine inapaswa kusaga na

kusaga mahindi hayo mfululizo bila

kukoma.

Mashine ikisaga mahindi mengi,

utapata unga mwingi; lakini ikipunguza

kasi au ikisimama, uzalishaji wa unga

hupungua.

​Ndivyo ilivyo pia kwa maambukizi ya

PID mwilini mwako.

Bakteria wanapohama kutoka ukeni na

kupanda kuelekea kwenye mfumo wa

juu wa uzazi, ndipo ugonjwa huu

unapoanza kushamiri.

Bakteria hawa wakizidi kuwa wengi,

ndivyo PID inavyozidi kuwa sugu.

Kwa hiyo, ili kudhibiti PID, ni lazima

kuzuia mchakato huo wa bakteria

kuendelea kuzaliana na kusambaa.

​Hapa ndipo BF suma kwa kuligundua

hilo wamefanikiwa kugundua kanuni ya

kutengeneza virutubisho lishe

ambavyo vinaenda kuua bacteria

ambao husababish tatizo na kuweza

kudhibiti bacteria hawa wasiweze

kukua .

hivo kuufanya mwili wako uwe salama

dhidi ya PID na madhara yake na

hakutakua na side effect yeyote katika

mwili wako

Baada ya shirika hili kufanikiwa kujua

chanzo kikuu kinachosababisha PID,

ndipo wakaamua kutengeneza dawa

ambazo zinaenda kutibu tatizo hilo

moja kwa moja.

​Kwa hiyo, ukitumia dawa hizi,

zinakusaidia kurejesha bakteria wazuri

kwenye uke kama ilivyokuwa awali na

kuzuia tatizo hili lisijirudie tena.

Shirika hili ​walifanikiwa kutengeneza

dawa za aina mbili ambazo zipo kwenye

package moja.

Package hii inaitwa "FEMINA HEALTH

PACK".

Dawa hizi mbi kwenye package ya

"Famine health pack" ni zipi? Hizi hapa...

​1.Femibiotic: Hii ni dawa ya kwanza

katika pakage ya "Femina health

power".

Dawa hiii imetengenezwa bakteria

walinzi wanaoboresha mfumo wa kinga

na kuondoa maambukizi ya PID katika

mwili hasa kwemy mfumo wa uzazi

pamoja na vyakula ili kufanikisha ufansi

wa kaz zao.

​Miongoni mwa bakteria waliotumika

kutengeneza dawa hizi ni pamoja na

Probiotics na Lactobacillus leuteri

LR08, lactobacciillus laturum, lp115-

ambapo kama tulivyoelezea mwanzo

kule bakteria hawa ni wazur kwa uke

wa mwanamke.

Dawa ya pili katika pakage hii ya “Femina

health package “ ni Femicare.

Femicare ni bidhaaya afya iliyoundwa

maalumu kwa kusaidia afya ya uke na

mgumo wa uzazi kwa ujumla dawa hii

imeandaliwa na mchanganyiko wa viambata

asili kama rejuvenating minerals , natural

essential oil from plants pamoja na vitamins

mbali mbali kama vitamin E pamoja na

vegetable antioxidants .

viambatanisho hivi husaidia kurejesha

usawa PH na afya ya mazingira mazuri ya

uke.

Femicare ni suluhilisho la kitaalamu kw

mwanamke anaejali heshima na afya yake

,inashauriwa kutumia femicare hata usipokua

na changamoto ya kiafya ili kulinda afya ya

mwanamke kutokana na mabadiliko ya

lazima yanayo mtokea kila mtu

Kwahiyo kazi ya virutubisho hivi ni kurejesha

bakteria wazur ukeni hivo hupelekea uchafu

pamoja na harufu mbaya ilokua inatoka

ukeni kutoweka kabisa

Pia itakusaidia kuweka Sawa PH katika uke

ili kuweza kulinda uke hivyo itaweza

kuthibiti maambuzi kutojirudia mara kwa

mara

Hata hivyo kupitia dawa hii humkinga

mwanamke kutokana na maambukizi ya UTI

pamoja na maradhi mengine ya zinaa

hata hivo virutubisho hiv humfanya

mwanmke kujiamini na mwenye nguvu

kwakua huondoa maumivu wakat wa tendo

la ndoa na pia huongeza hamu ya tendo la

ndoa na hatimae kurudisha fur furaha ya

familia yake

pamoja na hayo yote pia huimarisha kinga

ya mwili .

Kiufupi baada ya kumeza vidonge hivi

changamoto na karaha zote zitokanazo na

maambukizi ya PID yataisha kabisa mfumo

wa uzazi unarudi kua kama livokua mwanzo

Femina health pack n pakeji pekee yenye

dawa za uhakika zilizothibitishwa kisayansi

kwa kufanya kazi kwa haraka kuondoa tatizo

la PID

Hakika pakeji hii ni tiba mpya na ya kipekee ambayo haijawahi kugunduliwa !

usiamini maneno yangu baadhi ya watu

waliwahi kutumia pakeji hii wanayafuatayo

yakusema

kama unavyoona hicho ndicho

walichokipata baadhi ya wahanga watatizo

hili baada ya kutumia pakeji hii (fermina

health pack)

dose kamili yakuondoka maradhi haya ya

PID mpaka yakaisha na yasijirudie tena ni

siku 30 kama tatizo sio la muda mrefu kun

uwezekano mkubwa wakuwahi kupona

kabisa kabla siku 30

lakini hata kama ukipona kabla siku 30

tunashaur umalizie dose kamili ili kuzuia

tatizo hili lisijirudie tena

Matumizi ya pakeji hii unakula kutwa mara 1

mpaka dose itakapokwisha

wakati unatumia virutubisho hivi hakikisha

unajiepusha kufanya mapenzi wakati wa

matibabu ,epuka kusafisha uke kwa kutumia

chemical, epuka kuvaa nguo za ndani

zisizosafi na kubana sana , epuka kutumia

vilevi wakati wamatibabu

Pia safisha uke kwa kutumia maji safi ,

malizia dose yako yote ili kupata matokeo

mazuri zaid ,kunywa maji mengi sana

pamoja nakula vyakula venye protini na

mboga mboga

kwa kufanya hivyo baada ya siku kadhaa

utaanza kuona mabadiliko makubwa na

baada ya mwezi 1 tatizo litakua limeisha

kabisa

je pakeji hii ya femina health pack inagharimu kiasi gani ?

Virutubisho vya kutibu tatizo la PID katika

makampuni mengine dozi ya siku 30 ni

500000/=

kwahio nikisema pakeji ya femina health

pack inagharimu 300000 /=itakua bei rafiki

sana .

ukizingatia BF SUMA wametumia mabillion

ya pesa kufanya utafiti wakugundua

virutubisho hivi na pia utengenezaj wa

virutubisho hivi unatumia telnologia ya

kisasa hivo gharama zinazotumika

kutengeneza pakeji hii zipo juu sana

kwahio kwa 300000/= unakua umepata bei

rafiki ukilinganisha na bei ya makampuni

mengine

lakini unajua nini ?

hautalipa hiyo 300000/= kupata dose kamili

ya package hii

unaweza kujipatia dose kamili ya pakeji hii

kwa .....

225000/=kunasababu kwanini nimeaumua

kutoa punguzo la bei kubwa sana hivo

sababu ni kwamba napata wateja wengi

kupitia watu ambao wamepona kwa

kutumia pakeji hii ... yan watu ambao

wamepona kwa kutumia pakeji hii wamekua

mabalozi wazuri wakuniletea watu wengi

wenye changamoto hiyo

Kwasababu hiyo ndio maana nimetoa

punguzo la bei ili kukupatia urahisi wa

kupata dozi ya Femina health pack .

Kwakua nina imani 100% dozi hii itakusaidia

kupona uvimbe wa tezi dume hivyo hata

wewe utakuwa balozi wangu mzuri wa

kuniletea wahanga wengine

Femina health pack inatengenezwa

marekani.

Kwasasa mzigo ambao tumebakinao kwa

hapa Tanzania ni Dozi ya watu 100.

Kwahiyo, kwa watu 100 watakaokuwa wa

kwanza kununua Femina health pack ndio

watapata OFA hii.

Watu 100 wanaonekana wengi lakini

kumbuka Tangazo hili linaonekana kwa

Watanzania wote wenye simu kubwa za

kuweza kuingia mtandaoni na wengi wao ni

watu ambao wamechoka kuendelea

kupoteza muda na pesa kwenye tiba

ambazo hazifanyi kazi.

Kwahiyo, nina uhakika ndani ya siku kadhaa

au wiki kadhaa watu hao 100 watakuwa

tayari wamechukuwa ODA zao.

Baada ya Oda hizo 100 kuchukuliwa

Hutopata tena punguzo la bei ambalo

tunalitoa kwa watu hawa 100.

​Na sio hivyo tu...

​Kama utapitwa na OFA hii itakubidi usubiri

siku 120 (miezi 4) kuja kwa mzigo mwingine

wa Femina health pack kutoka marekani.

​Miezi yote hiyo ya kusubiri unaweza

ukajikuta maumivu yanaongezeka sana kiasi

cha kwamba madhara yake yatakuwa ni

makubwa sana

​Sikuombei itokee hivyo lakini ni vyema

ukachukuwa Oda yako mapema kwasababu

zipo Oda za watu 100 tu kwa sasa.

Office yetu inapatikana Dar-es-alam lakini

piya tunatuma mikoa yote hata nje ya

Tanzania

​Kujaza fomu ni rahisi.

​Bonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa

“ODA YANGU”.

Baada ya kubonyeza sehemu

hiyo itafunguka fomu ya kujaza taarifa zako

na kutuma oda yako (Taarifa Zako

zitatunzwa hatakuwepo mtu mwingine

tofauti na mimi atakayejua kuhusu tatizo

lako)

​Bonyeza sehemu hii sasa hivi.

Ahsante kwa muda wako.

​Ni mimi,

​Doctor Naifat!

​>>>0793990699<<<

>>>>0677504756<<<

>>>>0658333542<<<<

​P.S: Kama nilivyokwambia zipo oda za watu

100 tu kwa sasa.

​Saa iliyopo hapo juu itakaposoma sifuri

maana yake oda zote zimechukuliwa na

tangazo hili hautoliona tena mpaka pale

tutakapopata mzigo mpya na kuanza

kutangaza kwa mara nyingine tena.

​Kwa hiyo, usiendelee kusubiri wakati

suluhisho la tatizo lako liko mbele yako.

Tuma oda yako mapema kabla hujawahiwa

​

​This site is not a part of the Facebook™

website or Facebook™ Inc. Additionally, this

site is NOT endorsed by Facebook™ in any

way. FACEBOOK™ is a trademark of

FACEBOOK™, inc.

​Copyright - Online Marketing System Pro